Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya wachezaji muhimu pale wanapokutana na hii timu.
Poleni Wachezaji wa Dodoma Jiji
Kuna ajali ya lori la mafuta imetokea hapa Mzambarauni , Morogoro.
Kitu kilichonishangaza ni uwepo wa watu ambao wamejiandaa kabisa kwa kuchota mafuta wakati si miaka mingi naeneo hayo hayo palitokea vifo halaiki kutokana na moto August 2019.
Umewahi kupata ajali ndani ya bus au gari ya abiria ukashuhudia abiria wenzako wakifa na kujeruhiwa au wewe mwenyewe kupata majeraha mabaya ya viungo au ukilema?
Uliwezaje kuhimili mkasa kama huo na kuendelea na maisha kawaida?
Watu 11 wamepoteza maisha na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya A-N Coach kupata ajali katika eneo la Luanjilo Wilaya ya Mbeya Vijijini.
Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Ijumaa, Septemba 6, 2024 baada ya basi hilo lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Tabora kupinduka wakati...
Sielewi imetokeaje hii kitu ni mara ya pili hii kwenye parking ipo hivi.
Nimetokaa zangu uko na gari ya watu premio toyota nimepaki vuzuri tu nimemaliza mambo yangu nataka kupeleka mzigo sehemu husika ile narudisha gari nyuma ghafla naona bampa la mbele limetona linabuluza chini, nakanyaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.