kupata ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Nataka nitumie mbinu hii kupata ajira

    Nataka nijitoe ufahamu kwa kuandaa CV yangu vizuri, halafu nitaandika barua moja kwa moja kwa Rais ikulu, nitaambatanisha vyeti vyangu vyote kisha nitavizia siku rais yuko Dar. Ntapeleka barua yangu pale geti la ikulu, ntawakabidhi walinzi kisha nitawaomba wamfikishie mheshimiwa hiyo barua...
  2. B

    Dc Iramba afanikisha askari 85 wa jeshi la akiba kupata ajira Suma JKT

    Iramba, Singida. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amefanikisha askari 85 wa Jeshi la akiba waliohitimu mafunzo yao kupata ajira SUMAJKT. Mhe Mwenda ameeleza hayo Jumatatu Novemba 15, 2021 wakati akifunga mafunzo ya askari wa Jeshi la akiba katika viwanja vya...
  3. M

    Watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote!

    Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora === SERIKALI imesema watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi...
  4. Janja janja za kupata ajira katika kipind kigumu hiki katika soko la ajira

    kuhusu ajira zinazidi kuwa ngumu mnoo hasaa miaka hii ya 202+ tutapitia ugumu mwingi sana kuipata ajira, hivyo kuna njama nyingi sana tunatakiwa kuweza kuzitumia ili kupata ajira katika taasisi za kiserikali au zisizo za kiserlikali.. tukibakia huku kuapply na kufanya interview ambako...
  5. Hii nchi ni hatari tuendako kama hivi ndivyo vigezo vya kupata ajira serikalini

    Niende kwenye nada moja kwa moja ,nimemaliza kidato Cha sita mwaka 2019 nikapata nafasi ya kwenda chuo kikuu, mkopo sikupewa (nilikosa) kutokana na changamoto ya kipato kwenye familia nikawa Sina namna ya kuendelea na masomo ya elimu ya juu. Juzi hapa likatoka tangazo la nafasi za kazi polisi...
  6. Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

    Nimeona sehem nyingi, familia nyingi na hata mmoja wa polisi aliyefariki kwa tukio la Juzi inaonesha kua alikua tegemeo la familia nzima mpaka mtoto wa kaka yake. Hoja yangu ni moja. Hii ni tamaduni au ni vipi!? Unamaliza shule, unapata kazi baada ya hapo unatakiwa kusaidia familia nzima na...
  7. Mtumishi wa Umma anawezaje kupata ajira kwenye International organisations kama UN, SADC, AU, EAC

    Bandugu salama? Nadhani humu nitapata jibu la jambo langu ambalo limekuwa likinisumbua kwa miaka. Mimi ni mtumishi wa Umma wa Halmashauri mwenye miaka 31. Niliajiriwa 2012 (nikiwa na Diploma, nikawa Afisa mdogo sana (uongozi wangu ulikuwa ndani ya kata). 2013 nikaenda Shule na kupata...
  8. Unaweza kutoa pesa ili kupata ajira? Ni vipi utahakikisha kuwa hautapeliwi?

    Habari wadau! Nakumbuka nilishawai kuitwa sehemu kufanya internship kwa ahadi nikimaliza internship nitapata ajira. Ila baada ya HR kivuli kustukia mchongo likaanza zwenge la kunishinikiza nitoe pesa ili nipewe kazi binafsi sio muumini wa rushwa; nilikataa hapo ukaanza mvutano kati ya head of...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…