Mtu katoboa kwenye familia, watu wanarundikana kumuomba pesa tena kwajili ya matumizi badala ya mitaji, kukodi mashamba, n.k. Ndio hawa virusi wanafika miaka 40 bado wanaomba pesa, ukiwanyima unatangazwa ukoo mzima unaanza kushambuliwa huwapi pesa ndugu zako, yani wanachojua ni matumizi tu na...
Nimetafakari sana nimeona hii demokrasia tunayolazimishwa kuifuata inazidi kutudidimiza. Iko kinyume kabisa na shughuli za maendeleo. Mabeberu waliona mbali sana kwa kutuaminisha kuwa WENGI WAPE. Na kuna wengine wana msemo wao wenye utata usemao "Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu"... binafsi...
Maendeleo ya kasi ya kiuchumi na kijamii ya China, yamekuwa ni mambo yanayojadiliwa kwa kina na wasomi wengi duniani, ikiwa ni pamoja na wale wa nchi za Afrika. Moja kati ya mambo ya msingi yanayotajwa kuwa ni kiini cha maendeleo hayo ni njia ya China ya kujiletea maendeleo, ambayo wataalam wa...
Wanabodi,
Kama kawa, hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo, Ili kupata maendeleo ya kweli, Je Watanzania tujifunze kuukubali ukweli wa tatizo, tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo husika, au tuendelee na huu mtindo wetu wa kufunika tuu kombe mwanaharamu apite?. Tutakuwa...
Recent research confirms manufacturing has been immensely important to the prosperity of nations, with over 70% of the income variations of 128 nations explained by differences in manufactured product export data alone.
Any increase in production leads to economic growth as measured by GDP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.