Wana JF Mimi ni mmoja wanaopenda sana watoto mapacha, tena mapacha wanaofanana hasa wakiwa wa kike!
Je, kuna njia yoyote ya kitaalam au hata ya kienyeji, au dawa iwe ya kisasa au ya kienyeji ambayo itawezesha hili, au mapacha ni jambo la kiasili na kimaumbile kama watu wanavyodhania?