Kama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto...
Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. .......
Wa kwanza asipoleta pandikiza mwingine ..jaribu kuleta mwingine na mwingine na mwingine...
Thank me later
Cc: Kijana masikini and 100 others
Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine.
Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako na watoto wako hawatakuwepo utotoni na ujanani.
Kaka na dada zako watakuwepo karibu maisha yako...
Ndo hivo imetokea japo sijutii kwasababu ya mgogoro wa hapo kipindi Cha nyuma ambapo ilinibidi kumtafuta wa kunipa furaha
Sasa baada ya wife kugundua nataka kuoa mwingine Basi akarudisha upendo na kuwa mpole japo mimi sikutaka Tena kuwa naye kwani stim zilishakata kwake
Akawa ananiomba...
Siku hizi, imekuwa kawaida kusikia mtu amepata mtoto bila kufunga ndoa, jambo ambalo zamani lilikuwa nadra sana, na hata likitokea, lilikuwa na unyanyapaa mkubwa. Lakini leo hii, mambo yamebadilika – vijana wengi hawana shida kuwa na watoto bila ndoa, na wengine hata wanaona si lazima kuwa...
Wakuu Zuchu kaweka kikwazo, tusubiri Diamond kama atakivuka 😆
Staa wa Bongo Fleva, Zuchu amempa sharti la ndoa Diamond Platnumz ndio waweze kupata mtoto pamoja baada ya Nyota huyo kumuuliza kama anamuamini na atamzalia wakiwa jukwaani wakitoa burudani ya muziki kwenye usiku wa kuamkia Oktoba...
"Mama kuwa na umri zaidi ya miaka 35 au Baba kuwa na miaka zaidi ya 40 kunaweza kupelekea kupata mtoto mwenye mtindio wa ubongo, kupata infection wakati wa ujauzito, Mama mjamzito kuumia sababu zipo nyingi ambazo zinapeleka mtoto kuzaliwa na mtindio wa ubongo" Dkt. Alvin Miranda.
vijana wenye...
Wanajukwaa mko pouwa? Nimeamua kuleta hii mada kutokana na adha wanazopitia baadhi ya wanandoa au wachumba wanaofikia hatua ya kuachana kutokana na changamoto za uzazi unakuta kunakuwa na kushutumiana baina ya watu walio katika uchumba au ndoa inapotokea wamechelewa kupata mtoto bila kufanya...
Wanajukwaa mko pouwa.
Leo hebu tubadilishane uzoefu.Kama tujuavyo kwamba Dunia ipo pamoja na mazuri yaliyomo ila changamoto zipo pia.
Kuna hii changamoto ya kupata mtoto ,Unakuta mke kaolewa kwenye boma
flani alafu linapokuja swala la kupata mtoto inakuwa changamoto.
Je, inapotokea kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.