kupata wateja wapya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Nifundisheni namna ya kudili na wateja Wakopaji

    Wakuu, Kila nikifunga hesabu zaidi ya 20k inalala nje. Wote sio watakaolipa, sasa basi nipeni mbinu za kushughulika na hawa jamaa
  2. msomi duni

    Namna rahisi ya kupata wanunuzi wa bidhaa Instagram

    Mimi nimekuwa nikifanya biashara ya kuuza kuku muda mrefu ila localy Yani masokoni kwa kununua kwa jumla na kuuza rejareja, katika kutaka kutanua wigo wa soko langu yani kupata wateja wapya nikaona acha nianze kujitangaza kupitia instagram ila huko nako kwa muda niliokaa nimejifunza / nimegundua...
  3. Its Jensen

    Mbinu na njia sahihi za kupata wateja wapya (leads) kwenye biashara yako

    Habari wana JF, natumaini mko salama kabisa mnapambana na majukumu ya kila siku leo nmependa niongelee kwa ufupi kuhusu lead generation, amapo Kukusanya leads ni muhimu kwa mafanikio ya biashara yoyote. Unaposikia kukusanya leads au leads generation Ni mchakato wa kukusanya taarifa za wateja...
Back
Top Bottom