kupatana

  1. Nini kilisababisha Kufa kwa “Kupatana”

    Nini kimesababisha kufa kwa hii App, yaan ilikuja kasi sana. Ukiuliza wenye nayo leo unaweza usiwapate kirahisi.
  2. Hamas hapaswi kuonewa huruma kwa namna yoyote ile. Adui anauawa na si kupatana naye

    Uadui upo rohoni, mtu anazaliwa nao. Ili usalimike mbele za adui yako njia ni mbili tu; 1. Ukimbie mbele zake, ukiona adui amekuzidi nguvu au maarifa ili usalimike ni kumkimbia tu. 2. Umuue. Hawa Hamas na watu wa jamii ya Palestine ni maadui wa Israel miaka na miaka. Israel akipata mpenyo na...
  3. Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba

    Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning...
  4. Kupatana imepatwa na nini tena?

    Kwa siku za hivi karibuni mambo naona yanaenda ndivyo sivyo kwa upande SEO yaani unachokitafuta hukipati mpaka uzungukie google uandike jina la bidhaa halafu ndo link ikupeleke kupatana. Bila hivyo ni changamoto au labda ni kwa upande wangu tu. Unaweza kuandika IPHONE kwenye search box zikaja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…