Hii ni nyumba ya ya vyumba 3 vya kulala
Mbao za 2/2 mbao 130
Mbao za 2/4 mbao 150
Misumali kg 45 ya inch 4
Mbao za fisherboard 18
Rangi sado 1
Kofia 26
Valley 18
Misumali ya bati pakt 30.
Bati 140
Nipigie au nichek Whatsapp 0743257669 tufanye kazi
Tunapatikana ukonga dsm
Wakuu bati zangu zimeanza kupauka ndani ya miaka 5 toka nipaue Aina yake ni zile za migongo mipana.
Je Kuna rangi nikipaka itadumu kwa kitambo kirefu? Naomba kuwasilisha
Wakuu mimi Niko hapa kwenu nawapa tip ya ujenzi hii hapa maana mimi kwenye ujenzi nmeboboa.
Kutreat mbao kwa dawa zile za kijani kijani wanazopiga wengi wauzaji wa mbao.
Oili chafu inadumu muda mrefu zaidi kuliko hizi dawa.
Ukweli ndio huo oili kwanza kadili inavyopigwa joto ndio kwanza...
Wanabodi Salaam,
Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu...
Salama Wakuu?
Nina bati 13 za ALAF zimebaki baada ya kupaua naziuza, 11 ni za mita 3 na 2 ni za mita 3.3 nina kofia 1 na valley 1 zote ni charcoal grey na aina ya bati ni Versatile, zina kama siku 6 tangu zitoke kiwandani. Unaweza nichek PM kama uko interested bati zipo Kimara Dar es salaam...
Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
Hidden roof houses ni Kama hizi hapa
Ni kweli kabisa hidden roofing hupunguza gharama ya mbao kwa zaidi ya 80% na hupunguza pia gharama ya bati kwa zaidi ya 70%.
Endapo idadi ya mbao inapopungua basi pia gharama za misumari bati na misumari mbao hupungua kwa asilimia zile zile pia...
Wataalamu naomba msaada maana ya neno ufundi mchundo
========
Mkandarasi ni fundi mwenye taaluma ya juu kuliko mafundi wengine wa ujenzi wakiwemo wakandarasi wa barabara wanaofahamu vitu na vipimo vyote vitakavyotumika katika ujenzi husika. Mkandarasi hufanya kazi maalumu zikiwemo za ujenzi na...
Asalam Ailekum wandugu,
Nahitaji mtaalam wa kunifanyia makadirio ya ujenzi wa nyumba hususan kupaua kwa kutumia bati. Nyumba ipo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Natanguliza Asante.
--------------------
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.