kupaua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fundi kupaua mapaa ya kisasa nipo hapa 0743257669

    Hii ni nyumba ya ya vyumba 3 vya kulala Mbao za 2/2 mbao 130 Mbao za 2/4 mbao 150 Misumali kg 45 ya inch 4 Mbao za fisherboard 18 Rangi sado 1 Kofia 26 Valley 18 Misumali ya bati pakt 30. Bati 140 Nipigie au nichek Whatsapp 0743257669 tufanye kazi Tunapatikana ukonga dsm
  2. Kupauka kwa bati. Je, Kuna rangi nikipaka itadumu kwa kitambo kirefu?

    Wakuu bati zangu zimeanza kupauka ndani ya miaka 5 toka nipaue Aina yake ni zile za migongo mipana. Je Kuna rangi nikipaka itadumu kwa kitambo kirefu? Naomba kuwasilisha
  3. Kupaka mbao dawa au kupaka oil ipi inakaa muda mrefu bila wadudu kula?

    Wakuu mimi Niko hapa kwenu nawapa tip ya ujenzi hii hapa maana mimi kwenye ujenzi nmeboboa. Kutreat mbao kwa dawa zile za kijani kijani wanazopiga wengi wauzaji wa mbao. Oili chafu inadumu muda mrefu zaidi kuliko hizi dawa. Ukweli ndio huo oili kwanza kadili inavyopigwa joto ndio kwanza...
  4. H

    Kwa mafundi wa kupaua nahitaji msaada wa haraka

    Wanabodi Salaam, Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu...
  5. Bati(ALAF) zimebaki baada ya kupaua nauza

    Salama Wakuu? Nina bati 13 za ALAF zimebaki baada ya kupaua naziuza, 11 ni za mita 3 na 2 ni za mita 3.3 nina kofia 1 na valley 1 zote ni charcoal grey na aina ya bati ni Versatile, zina kama siku 6 tangu zitoke kiwandani. Unaweza nichek PM kama uko interested bati zipo Kimara Dar es salaam...
  6. Fundi kupaua (mrejesho wa kazi)

    Napatikana kwa namba 0743257669 TUMEKABIDHI KAZI PANDE ZA KIGOGO MABIBO NYUMBA INAUKUBWA WA MITA 4.6 KWA 12M Mbao 4×2 pcs 80×5500= 440,000 Mbao 2×2 pcs 60× 2800= 168,000 Mbao 10×1 pcs 12×16000= 192,000/= Misumari nch4 kg 25×3500= 87,500/= Misumari nch3 kg 5×3500= 17,500/= Misumari nch2 kg...
  7. K

    Bati za kiboko zina ubora unaokidhi?

    Wadau wa ujenzi mnaonaje ubora wa bati za Kiboko? Zina ubora unaokidhi?
  8. K

    Mabati ya kampuni ya Taishan nani anayafahamu vizur?

    Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
  9. Je, ni kweli nyumba mnazoziita contemporary (Hidden roof ) zinapunguza gharama ya kupaua?

    Hidden roof houses ni Kama hizi hapa Ni kweli kabisa hidden roofing hupunguza gharama ya mbao kwa zaidi ya 80% na hupunguza pia gharama ya bati kwa zaidi ya 70%. Endapo idadi ya mbao inapopungua basi pia gharama za misumari bati na misumari mbao hupungua kwa asilimia zile zile pia...
  10. Karibu tukupaulie nyumba yako

    Karibuni sana tuwahudumie.
  11. Gharama ya kupaua nyumba ya ramani hii

    Wataalam na wazoefu maswala ya ujenzi hasa kupaua naombeni msaada kulingana na title hapo juu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  12. Maana ya mkandarasi, fundi stadi na fundi mchundo

    Wataalamu naomba msaada maana ya neno ufundi mchundo ======== Mkandarasi ni fundi mwenye taaluma ya juu kuliko mafundi wengine wa ujenzi wakiwemo wakandarasi wa barabara wanaofahamu vitu na vipimo vyote vitakavyotumika katika ujenzi husika. Mkandarasi hufanya kazi maalumu zikiwemo za ujenzi na...
  13. D

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Asalam Ailekum wandugu, Nahitaji mtaalam wa kunifanyia makadirio ya ujenzi wa nyumba hususan kupaua kwa kutumia bati. Nyumba ipo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Natanguliza Asante. --------------------
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…