Je, unawaza kumpa talaka mke wako au mme wako? Kama una mpango huo, ngoja nikutajie hasara 20 za kupeana talaka, kabla hujafanya uamuzi utakaoathiri maisha yako. Zifuatazo ni hasara zinazoweza kuwapata wanaopeana talaka:
Mshtuko wa kihisia – Talaka huleta maumivu makali ya kihisia, msongo wa...