Kuna binti kaja kwenye kikundi leo analia, jana mume karudi nyumbani amelewa binti kafungua simu amekuta meseji za kimapenzi za wanawake, picha za utupu kutoka kwa wanawake watatu na wawili kati yao ni wafanyakazi wenzake na mumewe. Asubuhi hii ameondoka nyumbani akaenda kanisani na hajaongea na...