Usiache kupenda tena, yawezekana huyo ndiye aliyekusudiwa kuwa wako. Ukiachana na mtu usisuse ila jisahihishe kisha daka chombo tena
Usikubali kuishia njiani kwasababu umeachwa, umeumizwa na mtu kwenye mahusiano yako
Usijione hufai baada ya kuondoka kwake au baada ya kumuondoa kwenye maisha...