Ni kijana mwenye 25 kabahatika kupata ajira sehemu flani yenye mshahara huo wa laki 9
Kijana anapendeza kweli, ni anajua kuyapangilia mavazi, ni sifa inayomtambulisha zaidihasa kwa jina la kifaransa analopenda kujiita.
Katika mshahara wake wa laki 9 hutenga laki 4 kwajili ya mavazi, si jambo...
Akizungumza katika Baraza la Eid El Fitri katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Rais wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha na kuyaishi maono yake ya kuwa na Tanzania moja isiyogawanywa kwa misingi ya kisiasa
Kabla ya kuanza...
Heri ya Pasaka.
Iko hivi, imekuwa kama tamaduni kwetu kuwa siku za sikukuu ndio mtu atavaa vizuri, atakula vizuri na atatoka out.
Jana wakati natoka kwenye mishe zangu nikamuita boda wangu anipeleke home nikaangalie chama langu Liverpool likimenyana na Arsenal.
Jamaa kafika asee alikuwa...
eid mubarak!!
Hii kitu nimeiona kwenye miji kadhaa niliyowahi kuishi hapa nchini.....
Ukitembelea sehemu zinazopatikana pombe za kienyeji (gongo, wanzuki, chimpumu, mnazi n.k) basi burudani yao kubwa ni hz nyimbo za zamani.....
Ddc mlimani park
Sikinde
Msondo ngoma n.k
Hizi ni nyimbo zenye...
Ni wachache mno, wengi wao ni mkumbo tu na kufuata upepo wa fasheni. Elewa hakuna kitu kwa ajili ya kila mtu, chagua chako na ukubali. Kama ilivyo kwa wanaume, sio wote watavaa pensi.
Sketi na magauni yanawakaa poa sana, hata wale wenye maumbo ya kanda pendwa hupendeza.
Suruali zina ubaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.