Huwa najiuliza mimi, au ndo kutokujua au ni ushamba ,sijui kibeseni mimi.
Naonaga watu wengi ili kuonyesha kwamba anampenda mke au mpenzi wake, utaona wengine wanabusiana. Wako wanaowabusu wapenzi wao shavuni, wengine wanawabusu kwenye paji la uso, wengine kwenye shingo za wake zao hasa wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.