Mahusiano yana mengi sana.
Kuna nyakati unakuwa na mtu anayekuonesha mapenzi ya dhati, anakufanyia kila kitu lakini haum'feel kabisa. Unajaribu kumkasirisha ili labda akasirike akuache lakini wapi, kila kosa lako analisamehe na mara nyingine yeye ndo anakuwa anaomba msamaha kwa makosa yako...
Yaani unapendwa eeh, kila saa mtu anahisi wewe hurudishi upendo alionao yeye kwako, mara aone wewe una wanawake wengine duh.
Kupendana kuwe kwa kiasi, vikizidi ni kero, kama hujawahi kupendwa sana huwezi ukaelewa hapa. Kuna muda tunahidtaji ku focus na mambo mengine sio kila saa hivyo tu.
Kwenye mahusiano yenye afya, vitendo ndio uuza uzuri wa mpenzi na thamani aliyonayo mpenzi. Vitendo husisimua moyo, akili na viungo vya mwili. Akili uwaza, mwili upokea hisia na ulimi unena.
Mwenza bora ugusa hizi sehemu haswa mtu akawa radhi kwa lolote katika mapenzi na maisha Kutumika katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.