kupendwa sana kero

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. haszu

    Kupendwa sana nako ni kero

    Yaani unapendwa eeh, kila saa mtu anahisi wewe hurudishi upendo alionao yeye kwako, mara aone wewe una wanawake wengine duh. Kupendana kuwe kwa kiasi, vikizidi ni kero, kama hujawahi kupendwa sana huwezi ukaelewa hapa. Kuna muda tunahidtaji ku focus na mambo mengine sio kila saa hivyo tu.
Back
Top Bottom