Nipo zangu nyumbani napangilia mambo yangu ya kila siku, mara ghafla naona simu inaita; kuitazama, ni namba ya mama kijacho (mchepuko).
Baada ya kupokea, mazungumzo yakawa hivi:-
Mimi: halo
Yeye: mambo vipi bebii
Mimi: Niko powa, mambo yakoje huko?
Yeye: Huku mabaya, sijisikii vizuri, nataka...