Msikilize Nicolo machiaveli anavyosema ndani ya The Prince.
SURA YA 17
Kuhusu ukatili, rehema na iwapo ni bora kupendwa kuliko kuogopwa
Kwa kuangalia sifa nilizozitaja hapo juu, nasisitiza kuwa, kila kiongozi anatakiwa ajitahidi asifike kwa rehema na si ukatili. Lakini anatakiwa kuwa makini...