Dah! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti. Na vimenitokea sana hii ni mara ya pili nakumbuka mara ya kwanza nikiwa na demu wangu alinitambulisha kwa rafiki ake Y, hapo ndipo mambo yalipoanzia, kila siku alinitafuta ooh!! Shem mzima nataka nije nikutembelee mara sijui rafiki yangu...