Wakuu kwema?
Inaweza kutokea ndugu yako akaomba kumpiga picha mtoto wako akisema mtoto amependeza au mtoto wako mzuri picha zitatoka vizuri, wakati mwingine inaweza kuwa hata kwa majirani au watu ambao huwajui kabisa.
Dunia imebadilika, huwezi kujua unayemruhusu ampige picha mtoto wako...