kupiga picha na pesa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili Kambole: Hakuna kosa kisheria mtu kupiga picha akiwa na fedha zake

    Wakili wa kujitegemea Jebra Kambole amesema kuwa, hakuna kosa kisheria kwa mtu pale anapoamua kupiga picha akiwa na fedha zake. Wakili Kambole amesema hayo Julai 10, 2024 alipokuwa akihojiwa na kituo cha redio cha ambapo amesisitiza kuwa, endapo mtu akikamatwa kwa kosa hilo ana uhalali na uwezo...
  2. W

    DC Temeke: Mtu akipiga Picha na hela akamatwe

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amelagiza Jeshi la Polisi la Wilaya ya Temeke kukamata Watu wote ndani ya Wilaya hiyo ambao wanapiga picha na kujirekodi video wakiwa na hela kwenye mitandao ya kijamii waseme hizo hela wametoa wapi na kodi wamelipa kiasi gani. Amesema "Mtu akipiga picha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…