Habari zenu MMU,
Mimi ni kijana mwenzenu leo acha nifunguke nipate msaada wa mawazo.
Mimi nilianza nyeto mwaka 2014 baada ya kufundishwa na mtoto wa jirani yetu. Tokea hapo nimepiga nyeto sana wastani mara tatu kwa wiki!
Sasa katika pita pita zangu mitandaoni nikaona bandiko kuwa nyetu...