kupiga xray

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ni kweli Mtu anapaswa kuwa uchi ili apigwe x-ray?

    Naomba wajuzi mnieleze ukweli wa hili Jambo. Wife alienda piga , X- ray ya mbavu but akaambiwa avae kanga, but wakati wanapigwa akaambiwa aifungua Ile kanga. Je, ni kweli hili Jambo ilipaswa kuwa hivi? Wajuzi tafadhali?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…