Huu ni mwaka wa uchaguzi Mkuu. Kwa sababu tumeshajifunza chaguzi tatu mfululizo yaani 2019, 2020 na 2024 hatuhitaji tena kubembelezana. Nadhani kama ni busara au hekima vimetumika na sasa iwe mwisho. Mimi nadhani harakati zianze sasa kabla kabisa ya mchakato wa uchaguzi haujaanza rasmi. Taasisi...
KWELI KUNA WANACHADEMA HAMNAZO. UTAWEZAJE KUPIGANIA HAKI BILA KUWA NA KIONGOZI MWANAHARAKATI?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa kweli Wanachadema wamenishangaza Sana. Uchaguzi huu umeniongezea uelewa kuhusu CHADEMA inawatu wa aina gani.
Hivi mtu anawezaje kupambania HAKI, ukombozi pasipo...
Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa.
Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
Ukiangalia wengi wa wale wanaoishabikia CCM ni wale wanaolipwa au kufaidika kibinafsi na uwepo wa CCM. Labda ni viongozi, au wazazi na ndugu zao ni viongozi au wanufaika wa CCM kwa namna moja au nyingine.
Ni wakati mzuri sasa wa kuondokana na CCM na mfumo waliokwisha kuujenga kwa miaka zaidi ya...
Hatua ya baadhi ya wananchi kujitokeza na kumchangia mamilioni ya Shilingi Wakili maarufu, Peter Madeleka kwa ajili ya kuendelea na kesi ya anayetajwa ‘afande’ jijini Dodoma, imeelezwa kuwa inaonyesha kiu ya haki ilivyo kubwa miongoni mwa wananchi.
Shauri hilo la malalamiko namba 23627 dhidi ya...
Katika ujinga ambao sitokuja kuufanya ni kuchongoa mdomo wangu eti kupigania haki ya watanzania wenzangu.
Yaani mimi nimpiganie haki mwenzangu halafu nife yeye abaki anakula raha.
Pia soma:
SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.