Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Issakwisa Thobiasi Lupembe amedai wakati wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 kulikuwa na matukio ya vitisho kwa Wanachama na viongozi wa Chama hicho kutoka kwa baadhi ya Watu.
=====================
Taarifa ya...
Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakidaiwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kwenye Wilaya za Pangani na Tanga mjini, wakati upigaji kura ukiendelea.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Novemba 27, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, ACP...
1. Kulikuwa na utulivu mkubwa....
2. Waliojiandisha na wasiojindikisha ilikuwa RUKSA kupiga kura. Nimeshuhudia mwenyewe ninaowajua hawakujiandikisha wanapiga kura.
3. Mchuano ni mkali CCM na ACT
4. Chadema hawakuwana mgombea
5. Matokea bado as I am composing this thread!
KWAKO JE KULIKONI?
Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha.
Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi kubwa kuenguliwa wagombea wa CHADEMA, ambapo kati ya wagombea 198 wa vitongoji, walienguliwa wote, kati...
Wakuu,
Wakiwa wanahojiwa kwenye kituo cha TVE wananchi wa mbalimbali wametoa maoni kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye Uchaguzi.
Mmojawapo wa wapiga kura alidokeza kwenye mtaa wake hakuna karatasi maalum za kupigia kura na badala yake karatasi za notebook zinatumika...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni tayari kwa kupiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali za Mitaa katika kitongoji cha Sokoine Kijiji cha Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 27 Novemba, 2024.
===
Samia amepiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali...
Habari ndugu zangu,
Hivi kulikuwa na haja gani Sasa ya kuwaandikisha wananchi Kwenye daftari la kupiga kura?
Maana huku Nsalaga mtaa wa Ntundu watu wanaingia Kwenye chumba Cha kupigia kura bila kukaguliwa majina Yao Kwenye daftari.
Kwa maana hiyo hata yule ambaye hakujiandikisha anaweza kupiga...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.
Ramani ya Jiji la Dar es Salaam
HISTORIA YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Jiji...
Moja moja kwa mada:
Ili kuondoa haya malalamiko ya wagombea wa CCM kuanzisha vurugu na kuwasingizia wapinzani ili watolewe nje na Police then wao wanabadilisha matokeo then mawakala wanarudishwa ndani kuhesabu, pamoja na hujumu zingine kama kwenda kula chakula ndani watu wanafanya yao.
Kwanini...
Halmashauri ya Lushoto imebidi kuongeza vituo vya kupigia kura 64 katika maeneo mbalimbali kutokana na kuwepo malalamiko ya baadhi ya wananchi kuwa kuna sehemu vituo vipo mbali na hawataweza kufika huko.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya...
Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA
Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
Zoezi hili limekuwa la AIBU kubwa kwa nchi inayoongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni. Iweje marehemu, watoto wenye umri wa chini ya miaka 18, walioachana na waume zao na hawapo kwenye eneo hilo mfano Wilaya ya Tarime waandikishwe?.
Mimi niliitwa na CHAMA fulani kuwa niorodheshwe lakini...
Kwa utaratibu wa nchi yetu kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na zaidi ana kadi ya kupigia kura isipokuwa vijana ambao wangotimiza miaka 18 mwaka huu.
Tayari zoezi la uboreshaji wa daftari la kupigia kura limefanyika nchi nzima. Sasa kwa nini uchaguzi huu wananchi wasingetumia kadi zao za...
Wananchi zaidi ya Laki moja wadaiwa kukosa haki yao ya msingi ya kupiga kura katika maeneo yao ndani ya Tarafa ya Ngorongoro Wilayani Ngorongoro badala yake inaelezwa kwamba wengine kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), wamepangiwa kupigia kura Msomera mkoani Tanga licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.