kupigwa risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanafunzi afariki kwa kupigwa risasi shuleni, kisa kuzuia kuangalia mechi ya Man Utd

    Mwanafunzi amefariki kwa kupigwa risasi wakati polisi wakituliza vurugu za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Gulu nchini Uganda, zilizotokana na kuzuiwa kutazama mchezo wa Man City dhidi ya Man United, Jumapili Machi 6, 2022. Mwanafunzi huyo ametajwa kuwa ni Gabriel Rwotomiya ambaye alikuwa...
  2. Kufuli linaweza kufunguka kwa kupigwa risasi?

    Mara kadhaa nimekua ama kutizama nikiona kwenye moves mbalimbali mtu hufyatua trigger ya bunduki kisha risasi hutoka na kuligonga kufuri kisha kufunguka. Swali ni je, kweli inawezekana na pia hiyo risasi hawezi kukurudia baada ya kuligonga kufuri? Rejea mfano mdogo wa minati pindi uwekapo jiwe...
  3. S

    Hivi Rais Samia angeamua kuanzisha uchunguzi wa tukio la Lissu kupigwa risasi, sukuma gang wangekuwa na hali gani? Shukurani kamsitiri

    Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake! Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje? Je, si wangelala na...
  4. Video: Kumbuizi ya miaka minne (4) ya kupigwa risasi 37, Tundu Lissu ajibu swali la kupigiwa simu na Dr. Willbroad. P. Slaa...

    TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...." TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...." Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
  5. Kigogo wa jeshi la polisi Nigeria auawa kwa kupigwa risasi

    Meja Jenerali Hassan Ahmed Watu wasiojulikana nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mmoja wa vigogo wa jeshi la nchi hiyo, Meja Jenerali Hassan Ahmed. Meja Jenerali Ahmed aliuawa usiku wa Alhamisi nje kidogo ya Abuja wakati gari lake liliposhambuliwa kwa risasi, akitokea jijini Lokoja...
  6. Awamu iliyopita ilituondoa kwenye Staha na Utu wa Kiafrika, sasa ni zama za kufuata Katiba na Sheria

    Wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana, haya yalipatwa kunenwa na aliyekuwa makamu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, hapo alinena kama mama, kama makamu wa rais na mjumbe wa kamati ya usaama ya taifa au kama mwanasiasa? Kwa kauli hii mama alikuwa na staha kweli hasa kwa raia wa...
  7. Samehe saba mara sabini: Kisa cha Papa Yohane Paulo II kupigwa risasi mwaka 1981

    PAPA YOHANE PAULO II(POPE JOHN PAUL II)alipigwa risasi mwaka 1981 na raia wa uturuki aliyejulikana kwa jina la Mehmet Ali Agca. Papa alinusurika kufa na Mehmet alikamatwa na kufungwa Maisha Lakini mwaka 1983 Papa akaenda kumtembelea Mehmet jela na kumsamehe kosa alilolifanya la kujaribu kumuua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…