kupika keki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nataka nifungue biashara ya kupika keki, kuna shida yoyote kwa Mtoto wa kiume? Nishaurini

    Hela wakuu ngumu sana! Nimefikiria hii habar ya kusemaga hizi kazi za kike itanicost sana. Nimeona nianze na hii biashara ya keki hapa kwetu naona haina ushindan. Yupo tu mtu mmoja tu ndo anapika. Nipeni ushauri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…