kupika wali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jinsi ya kupika wali wa mbogamboga(wali wa maua) wa Nazi

    Ni siku nyingine natumaini mnaendelea vyema na mapumziko Nimeona niweze kushare na nyie jinsi ya kupika wali huu mtamu na unaonukia vizuri Mahitaji Hoho,karoti,iriki iliyosagwa au hata nzima,binzari nyembamba,kitunguu na njegere,chumvi,tui la Nazi mchele,chumvi na mafuta ya kula Hatua ya...
  2. Haya wale mabachela na wale wasiojua kupika wali mweupe

    Mahitaji: mchele, maji, chumvi,mafuta bila kusahau moto wako wa gesi, mkaa,au kuni etc.hatua ya kwanza washa moto wako, kisha injika sufuria lako jikoni,unapoinjika tu akikisha mchele wako nao upo kwenye maji mambo ya kusema mnapika wali bila kuloweka mchele, ndo mana unatoka unatafunika, na...
  3. Wali kupika kwa gesi, unaweza kukausha?

    Wana jamii naomba maujuzi ya kupika wali kwa gesi hadi kuukausha kwake.
  4. Siku ya kwanza kupika ilikuwaje? Ulichopika kiliiva?

    Wakuu, Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa bokoboko๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Mpaka nilipokuja kuuwezea ubwabwa nilishazoea na jina la bokoboko. Vipi wewe, siku ya kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ