Kwa nini bei za viwanja vilivyopimwa ziko juu sana nchini Tanzania?
Na Thom munkondya.
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa bei ya juu sana kwasababu upimaji ni gharama sana. Ukiona sehemu viwanja vilivyopimwa vinauzwa bei ya chini basi ujue hivyo viwanja havijapimwa ila vimetangazwa kama vimepimwa...
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Justine Nyamoga imeipongeza Halmashauri ya wilaya ya Ilemela kwanamna ambavyo imetekeleza kwa mafanikio makubwa Programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha Aridhi katika Halmashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.