kupima dna

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakikisha hautoi hela yoyote ya matumizi bila kupima DNA kwanza .

    Wake za watu wanagawa Sana kiukweli, hivyo jitahidini kupima DNA la sivyo mtawalelea Wahuni mimba na watoto.
  2. L

    Albert Chalamila: Mwanaume Achana na Mambo ya Kupima DNA, kikubwa Shukuru Mkeo Kazaa Binadamu

    Ndugu zangu Watanzania, Haya ni Maneno ya Hekima ya Mheshimiwa Albert Chalamila,Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam.ambaye amepata bahati kubwa sana ya kuongoza takribani majiji matatu Makubwa hapa nchini, yaani Jiji la Mbeya,Mwanza na Sasa Jiji la Dar es salaam. Kumbuka pia ameongoza hata mkoa wa...
  3. Nimehamasika kwenda kupima DNA. Labda nina uyahudi ndani yangu

    Wanajamvi wenzangu. Nilikuwa naangalia Tiktok kuna waafrika weusi kabisa kutoka Igbo Nigeria na South Africa wamepima DNA wakapatikana ni wayahudi 97% wengine 85%. Huko Ethiopia ndo usiseme. Kuna mdada flani kapima kajikuta 2% borana 3% Oromo iliosalia ni mteule. Cha kustaajabisha Southern...
  4. Ni Sawa umeenda kupima DNA Na ukakuta mtoto sio wako utafanyaje?

    Kheri Kwenu mabibi na mabwana. Moderator msifute huu Uzi hatutaelewana kabisa. Nikweli natambua yakuwa gharama za kupima DNA sio kubwa ukilinganisha na gharama za kuleta mtoto Ambae sio wako. Yaani utunze mimba,gharama za kujifungua, malezi ya mtoto,usomeshe Hadi chuo kikuu mtoto apate kazi...
  5. Mkemia Mkuu: Idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA imeongezeka nchini

    Mkemia Mkuu wa Serikali ya Tanzania Dr. Fidelis Mafumiko amesema idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA (kuhakiki uhalali wa Watoto wao) imeongezeka kwa sasa Nchini Tanzania tofauti na miaka miwili hadi mitatu iliyopita. Kwenye mahojiano mafupi na DW, Dr. Fidelis amenukuliwa akisema “naweza...
  6. Kitanda kinazaa haram, sheria ya kupima DNA iangaliwe upya

    Habari wana nzengo, Sheria ya kupata kipimo cha vinasaba (DNA) hapa Tanzania ina mchakato mgumu kidogo. Ni kwamba ni ofisi maalum zinaweza kuomba kupata vipimo hivyo tu, katika kutekeleza majukumu yake. Either ni mahakama katika kutatua mgogoro, polisi katika uchunguzi, ofisi ya ustawi wa Jamii...
  7. Wanaume wa Kanda ya Ziwa mmeshtuka nini hadi nyie ndiyo mnaongoza kwa Kupima DNA Tanzania nzima?

    Ndugu yenu GENTAMYCINE (kutoka Mkoani Mara) nawashaurini Vumilieni tu Kuchapiwa Wake zenu na Kulea Mimba za Wanaume Wenzenu na Watoto watakaozaliwa ni Jambo la Kawaida mno. Na nasikia baadhi yenu kama mkigundua (baada ya kupima DNA) kuwa Watoto siyo Wenu (Mmechapiwa) kwa Hasira wakiwa bado ni...
  8. M

    Wanaume acheni kupima DNA

    Serikali ya Uganda imewashauri wanaume kuacha kufanya vipimo vya vinasaba (DNA) kubaini ukweli wa uzazi, ikisema kuwa haina manufaa kwa ustawi wa nchi hiyo. Waziri wa Afya Msingi wa nchi hiyo, Margaret Muhanga, anasema haijalishi kama wanaume wanaolea watoto ni baba zao kwa damu au la, na...
  9. Mrejesho kuhusu kupima DNA za watoto wangu

    Miezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu. Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili wangu akasema inawezekana na ni rahisi sana. Nashukuru nimekuta mabao yote ni yangu, I felt like Messi...
  10. Aisee, wanawake mtatunyoosha, hii clip imenifikirisha sana, naenda kupima DNA watoto wangu wote

    Nisiseme mengi, kuna clip inazagaa mwanamke mmoja anajisifia kalea mtoto kwa kutumia baba watatu na hawajuani. Yaan anamaanisha mababa watatu wamelea na kuhudumia mtoto kila mmoja akijua huyo mtoto ni wake, mchezo mzima kacheza huyo mwanamke. Najua hapo alikua anaigiza tu ila hio clip...
  11. Nini kifanyike mkeo anapogoma kwenda kupima vinasaba vya mtoto?

    Bwana Ali ndoa yake ina mwaka wa tano, tangu ndoa ikiwa na miaka mitatu ugomvi usio na ukomo ulianza. Ali alikuwa akimtuhumu mkewe Asha kwa kutembea na bosi wake. Mtoto wao ana mwaka wa pili sasa, Ali anasisitiza wakapime vinasaba lakini mama amekuwa mbogo, anasema bora apewe talaka lakini siyo...
  12. Zijue taratibu za kupima DNA, gharama ya kipimo ni Tsh.100,000/=

    Mkemia Mkuu wa Serikali, Dk Fidelice Mafumiko amesema kuwa anayetaka kupima vinasaba (DNA), iwapo ana wasiwasi na mtoto anapaswa kufuata taratibu, badala ya kwenda moja kwa moja kwenye ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA). Akizungumza na waandishi wa habari katika...
  13. Namna ya Kupima Vinasaba (DNA) Kirahisi

    Hii inafanya kazi kwa Watoto wa kiume umri kuanzia miaka 9 na kuendeleea... Chukua simu yako yenye face recognition, iwe Apple, Xiaomi n.k Mchukue mtoto wako set face yake kwenye simu yako. Lock [emoji357] simu then wakati wakufungua tumia face yako wewe isipofungua jua Asilimia za huyo mtoto...
  14. Ni wapi nitapata huduma ya kupima DNA na ni bei gani?

    Habari ya muda huu wadau, nawezaje kupata huduma ya kupima DNA ni wapi ntapata huduma na ni bei gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…