kupima viwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    DOKEZO Wakazi wa Muheza, Maili Moja – Kibaha tulilipa Tsh. 150,000 tupimiwe Viwanja, huu Mwaka wa 4 kimyaaa

    Mimi ni Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa unaoitwa Muheza, tangu Mwaka 2020 sisi Wakazi wa huku tulilipishwa kiasi cha Shilingi 150,000 kwa ajii ya kupimiwa viwanja vyetu lakini hadi sasa Agosti 2024 hakuna kilichofanyika. Ipo hivi Halmashauri ya Kibaha kupitia Serikali za Mtaa ilisema tulipia...
Back
Top Bottom