Baada ya hofu kwa muda mrefu, jana nkaamua kujilipua. Namshukuru Mungu nipo salama, nashauri tu tucheze salama hali inaenda kuwa mbaya baada ya USA kujitoa kwenye mashirika ya afya.
Viongozi wetu wa serikalini kuanzia na waziri wa Afya na wengine onyesheni mfano kwa kupima VVU hadharani ili kuhamasisha wananchi mnao waongoza kuhamasika kupima kwa hiyari.
Ongozeni kwa vitendo, punguzeni maneno mengi.
Vipimo vinavyotumika mara nyingi sana kupima HIV/VVU ni aina ya HIV antibody tests, changamoto ya vipimo hivi ni kuwa kinahitaji mtu awe amepata maambukizi angalau miezi mitatu nyuma kabla ya kupima ili kipimo hiki kiweze kumgundua mtu kuwa ana maambukizi ya HIV/VVU.
Ndo maana ukipima katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.