Nchi yetu hatuwezi kuwa na viongozi wanaojichagua kuongoza nchi kwa kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, sasa ni wakati wazalendo na wanasheria wote nchini kwenda mahakamani kupinga mchakato mzima ulifanyika tarehe 19/01/2025 wa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kujiteua...
Leo hii, tarehe 17 Februari 2025, mjini Goma, asubuhi ya leo kumekuwa na maandamano; lengo likiwa wanajeshi wa UN waliopo Congo,hususani Goma, kwa zaidi ya miaka 20, waondoke, na kwamba usalama wao watahakikisha unatokana na wao wenyewe.
Si MOUNUSCO tu, bali na jeshi la SAMIDRC(Afrika kusini...
Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa
"Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba...
Huu ni ujinga. Ni upumbavu wa hali ya juu.
Hawa ni waandamanaji wanaopinga sera za Rais wa sasa wa Marekani za kukabiliana na suala na uhamiaji haramu.
Wengi wa hawa waandamanaji ni Walatino.
Hapa ni katika moja ya viunga vya mji wa Atlanta, GA.
Wanaadamana kupigania istihaki [privilege] ya...
Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli.
"Sasa hivi tayari inafahamika kwamba Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wake Mkuu kilipitisha kwa kauli moja na kumtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, jambo hili nilipolisikia sikuamini kwamba tumefikia hapa...
Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi.
Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake zote huu muungano magumashi wa serikali 2.
Lkn sikupata kufahamu kuwa yeye ndiye kinara wa kupinga...
Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo licha ya Jeshi la Polisi kuyaita ni haramu.
Hatua hiyo inafuatia kupita Saa 48 za wito wa kuachiwa...
Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu.
Vijana wa Kenya wana set maandamano Kesho wao wenyewe kwenye socia media na wanaingia road wenyewe, bila...
Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad
Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa...
Tanzania narudia kusema Movement za kiuanaharakati hatuziwezi na tunazania mtu mmoja anaweza fanya kwamba kuna mtu anaweza andamana kwa niaba yetu au anaweza paza sauti na sisi tukakaa kutazama jioni kwenye taatofa za habari.
Wakenya wana spirt ya asili ya kupambana na sio kutegemea wakina...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni umefanya uzinduzi wa Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ambao umebeba kauli mbiu isemayo Kuelekea Miaka thelathini ya Beijing
Chagua kutokomeza Ukatili wa Kijinsia.
Akizindua kampeni hiyo leo Disemba 06, 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni...
Taarifa inasema Pamba imepigwa faini milioni 5 kwa kufanya vurugu, kwa kosa la maafisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku moja kabla ya tarehe ya mchezo tajwa hapo juu katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Taarifa inasema pia walinzi wa Simba walisababisha vurugu pia kwa walinzi wake...
Kampeni ya Taifa ya Mtoto Ni Mboni Yangu imesogezwa mbele na kutarajiwa kuanza Desemba 14, 2024 Zanzibar chini ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ikisimamiwa na Waziri Riziki Pembe Juma kwa kushirikiana na Taasisi ya Ndoto Ajira.
Lengo la Kampeni hii ni kuwalinda watoto...
Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana
Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji
Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake...
MBETO HANA HAKI YA KUTUPANGIA, NJIA YA KUTUMIA KUPINGA SHERIA MBOVU.
Ndugu Wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia uhai na uzima, na ukimya katika nchi hii, pia kuwashukuru nyinyi wanahabari, kwa kuitikia wito wetu, kila pale ambapo tumewaita kuja...
Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amewasilisha ombi la kuzuia Rais William Ruto kuteua mtu atakayejaza nafasi ya Naibu Rais baada ya kuvuliwa madaraka na Bunge la Seneti.
Kupitia wanasheria wake, Kamotho Njomo & Company, Gachagua alitaka kuzuia Bunge la Taifa kujadili, kumchambua, kupigia...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh
Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, leo Oktoba 12, 2024 amezindua kampeni ya Tuwaambie kabla hawajaharibiwa wilayani Moshi, katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Shule ya Polisi Moshi Tanzania (TPS).
Akizungumza wakati wa...
Wakuu,
Hii poster inatembea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo kurasa za CHADEMA, je ni maandalizi ya maandamano mengine baada ya yale ya mwanzo kuingia doa baada ya viongozi wao kukamatwa siku ya maandamano?
Pia soma: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.