Leo, tarehe 6 Machi 2025, Wakili Mwanaisha Mndeme amewasilisha shauri la uchaguzi katika Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani, akiwawakilisha waliokuwa wagombea wa uchaguzi wa serikali ya kijiji cha Tambani, wilayani Mkuranga, kupitia chama cha ACT Wazalendo.
Shauri hilo limewasilishwa...
Wakuu mambo yameanza kuchangamka sasa. Unaweza kusema walichokuwa wanatarajia wamekikosa kabisa!
===============
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM tawi la SOKONI katika mtaa wa MGUMIA kata ya KIDONGO CHEKUNDU Manispaa ya TABORA wameandamana kupinga kushindwa kwa mgombea wa chama...
Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana
Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji
Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake...
Wakili Sweetbert Alipopatwa na Kigugumizi kuhusu Kukubali matokeo Inakupa Picha na Redflag kwamba Lazma angepinga matokeo ya Uchaguzi Hata kama utakuwa wa Haki..
Kasoro alizozitaja kisheria zinaitwa "de minimis non curat lex," ni kasoro ndogo ambazo haziwezi kubatilisha Uchaguzi hata kidogo...
Kiongozi cha Chama Kikuu cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change (CCC), kimetangaza kuchuka hatua hiyo kwa maelezo kuwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa Ushindi Rais Emmerson Mnangagwa ni Batili.
Maandamano hayo yatafanyika katika Majimbo 10 huku CCC ikiwaomba Wanaharakati kusambaza...
Mahakama ya Rufani nchini Nigeria imetoa ruhusa kwa mgombea wa chama kiloshindwa cha Labour bwana Peter Obi kupinga matokeo ya uchaguzi ambapo ulimpa ushindi mgombea wa chama cha APC bwana Bola Tinubu.
Mapema mwezi huu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Nigeria bwana Mahmood Yakubu...
Aliyekuwa Mgombea Urais kwa Chama cha Labour Party, Peter Obi ameahidi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Rais Mteule, Bola Tinubu wa Chama Tawala cha APC.
Obi alishika nafasi ya 3 amedai matokeo yalichakachuliwa.
Inadaiwa waliopiga kura ni 28% ya Wanigeria waliojiandikisha huku wengine...
Mahakama ya kikatiba ya Angola imekataa madai ya Chama cha Upinzani cha #UNITA ya kutaka kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu ww Agosti 24, 2022 kutokana na madai ya Uchaguzi huo kuwa batili
Mahakama imesema malalamiko ya UNITA hayakukidhi matakwa ya kuruhusu chombo hicho cha kisheria...
Jaji amesema nchi haitapungukiwa chochote ikiwa itaruhusu watu binafsi na wagombea kupinga matokeo ya Urais Mahakamani.
Ameongeza kuwa "ukishasema kwenye Katiba kwamba Mahakama ndiyo Mamlaka ya mwisho ya Kisheria, basi mzozo wowote unapaswa kufika kwenye Mamlaka hiyo ya mwisho ya kisheria"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.