Polisi nchini Uganda wamewakamata wanawake kadhaa waliokuwa wakifanya maandamano ya utupu kupinga ufisadi nchini humo.
Wanawake hao, baadhi wakiwa na vifua wazi, na mabango, walikamatwa walipokuwa wakielekea Bungeni huku wakipiga kelele za kupinga ufisadi na serikali.
Waandamanaji hao...