kupinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maandamano ya Amani kupinga mashambulizi ya Israel huko Lebanon Kwa Hezbollah

    Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali ya Mzayuni huko Kwa ndugu zetu katika Imani, Lebanon kwa maandamano ya Amani. Tarehe: Ijumaa, 06 Disemba, 2024 baada ya Salat Al jummah Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja Wabillah Taufiq
  2. N

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano.
  3. Wachezaji wazawa Simba na Yanga wavae vitambaa vya kupinga Utekaji, upoteaji na mauaji.

    Huwa naona timu za mpira ulaya wanahamasisha kampeni za mambo mbalimbali kama vile upingaji ubaguzi wa rangi au kuwanyanyapaa mashoga. Hii ni kutokana na nguvu ya michezo. Marekani pia timu za mpira wa basketball huwa na harakati mbalimbali dhidi ya mauaji ya bunduki. Huu ni wakati sahihi wa...
  4. Wananchi waandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja Kigoma

    Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe, Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai waliomba kujengewa daraja la kudumu. Kwa sasa wananchi hao wanavuka Mto Rwiche kupitia vivuko...
  5. Kupinga Mabadiliko: Hadithi ya Maumivu ya Majuto tuyatumie vizuri maonesho ya nanenane

    Mwaka 2000, teknolojia ya kamera za digitali iliibuka na kuleta mtikiso katika sekta ya upigaji picha. Wapiga picha wakongwe waliamua kuendelea na kamera zao za filamu wakiamini kuwa teknolojia ya digitali haitadumu. Lakini mambo yalibadilika—haraka zaidi kuliko walivyotarajia. Kamera za...
  6. Wakili Sweetbert Alipanga Kupinga Matokeo Ya Uchaguzi Kabla ya Uchaguzi Kufanyika Ushahidi upo kwenye Mdahalo wa Startv na Odemba

    Wakili Sweetbert Alipopatwa na Kigugumizi kuhusu Kukubali matokeo Inakupa Picha na Redflag kwamba Lazma angepinga matokeo ya Uchaguzi Hata kama utakuwa wa Haki.. Kasoro alizozitaja kisheria zinaitwa "de minimis non curat lex," ni kasoro ndogo ambazo haziwezi kubatilisha Uchaguzi hata kidogo...
  7. Wasomali wameungana dunia nzima kupinga Ethiopia wasipewe bandari walini Rasi wao kawapa uturuki pwani nzima ya somali??Hiii Kitaalamu ni akili gani??

    Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
  8. TFF ijitokeze kupinga hukumu ya mahakama ya kisutu kwa Yanga ni batili, Tangu lini kesi za mpira zinaamuliwa kisutu?

    Tangu nimeanza kushabikia mpira sijawahi kuona kesi ya mpira inaperekwa kisutu, Ingekuwa mambo yanaenda hivyo Feitoto angeenda kisutu. Kuna TFF na Bodi ya ligi kuu ndio zenye mamlaka kisheria kusimamia kanuni za soka na mambo yote ya mpira, ndio yenye mamlaka ya kuamua haki iwapo kutakuwa na...
  9. Mahakama yaridhia Wakili Mwabukusi afungue kesi ya kupinga kuenguliwa kuwania Urais TLS

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemruhusu wakili Boniface Mwabukusi kufungua shauri la marejeo ya uamuzi uliomwengua kwenye orodha ya wagombea urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Hata hivyo, imekataa ombi la kusimamisha mchakato wa uchaguzi huo ambao sasa utaendelea kama...
  10. Igunga: UWT Taifa Yaendelea Kuhamasisha Maendeleo ya Kupinga Ukatili wa Kijinsia

    IGUNGA: "UWT TAIFA YAENDELEA KUHAMASISHA MAENDELEO NA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA" Mjumbe wa Kamati ya Utekekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Hawa Ghasia Amefanya Ziara kwenye Kata Nne za Jimbo la Igunga (Itumba, Lugubu, Nguvumoja na Igunga) kwa ajili ya...
  11. K

    Tarehe 30/06/2024ni Killed Cha Maadhimisho ya Kupinga utengenezaji, utumiaji na usambaji wa madawa ya kulevya.

    Tukio ilo kitaifa litafanyika mkoa wa MWANZA Mh Waziri Mkuu atakua mgen rasmi wa jambo hilo kwenye uwanja wa Nyamagana.Brudan zitaanza saa 12:00 Karibuni sana.
  12. Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  13. Dokezo la Kisera kwa Ajili ya Baraza la Mawaziri Kupinga Unyanyasaji wa Kisiasa Dhidi ya Wauzaji wa Huduma za Ngono Nchini

    RC Albert Chalamila akitangaza OPeresheni Dada Poa, MKoani Dar 1. Usuli Tarehe 31 Oktoba 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuanza msako wa makahaba, kufunga biashara za masaji zinazotumika kama madanguro, na kuvunja nyumba zinazotumiwa...
  14. Kwanini Waislam wa Africa hutawakuta wanapaza sauti kupinga mauaji ya waafrica wenzao wanauliwa na RSF kundi la kiarabu?

    Mi sijawai ona kiongozi yyte wa dini ya kiislam hapa tz au vijana mitandaoni wakipambana kupinga haya mauaji ambayo yanalenga kumuondoa kama si kumfuta mtu mweusi Sudan. Na hawa ni waislam wenzao
  15. Siku ya Kupinga Vitendo vya Ukatili dhidi ya Wazee 15 Juni, 2024

    Wasaalam wanajukwaa wote. Wito kwenu tuungane wote kuwatakia Wazee wetu kote nchini🇹🇿 HERI YA MAADHIMISHO ya Siku ya Kupinga Vitendo vya Ukatili dhidi ya Wazee Leo 15 Juni, 2024. Kaulimbiu "Utu, Usalama na Ustawi ni nyenzo ya kutokomeza vitendo vya ukatili dhidi ya wazee". TUKUMBUSHANE wote...
  16. R

    Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

    Salaam, Shalom! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa...
  17. Watanzania tuungane kupinga mabaya haya ya awamu ya sita

    Kwa umoja wetu, Tukiamini sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, Na kamwe watawala hawajawahi kuishinda nguvu ya umoja wa umma ambao ndiyo sisi watanzania, Tuungane kukemea, Kupinga na kuchukua hatua ikibidi kuwalazimisha kung'atuka au kutokurudia makosa kuwarudisha katika viti vyao wakati wa...
  18. Watu wa CCM wakitoa hoja za kupinga Muungano wanashangilia, nongwa ni pale anapotoa hoja Mpinzani hata bubu atapayuka. Unafiki Mtupu

    Ni mambo ya ajabu hiki chama cha kuendekeza ufisadi na uongo. Kuna kasoro nyingi sana za muungano, lakini jambo la ajabu ni kuwa kasoro hizo zikizungumzwa na kiongozi wa CCM basi anashangiliwa hadi wabunge wanataka kupanda juu ya meza. Ila hoja hizohizo zikiongewa na Mbowe au Lissu mpaka kina...
  19. Bila Ukristo Dunia ingekalika? Mfano, Myahudi apigwe na kulemewa na Irani, Waarabu wangeandamana kupinga mauwaji ya wayahudi?

    Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti kabisa na Ukristo, wapo tayati kupigwa risasi na maasikari wa nchi zao kuwaandamania Waisilamu kupinga...
  20. Maandamano ya kupinga vita vya Gaza yaitikisa Marekani.Yahofiwa kuleta matokeo kama ya vita vya Vietnam

    Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo. Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika wa bunge wa Marekani.bwana Johson kutembelea eneo hilo kuwataka watawanyike bila mafanikio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…