Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba Ijumaa April 05.2024 anatarajia kushiriki maandamano yaliyoandaliwa na waumini wa Kiislam wa dhehebu la Shia yanayolenga kupinga mauaji ya Halaiki na dhulma dhidi ya raia wa Palestina, yanayotarajiwa kufanyika Ilala Boma, Dar es Salaam...