kupinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mfumo mbovu wa mahakama wakwamishan kesi ya kupinga zuio maandamano Mbeya

    Mheshimiwa JAJI KIONGOZI, kuna TATIZO la KUSAJILI KESI katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Mbeya) linalosababishwa na UBOVU wa MFUMO wa MALIPO (Control Number). Ili HAKI isicheleweshwe KINYUME na ibara ya 107A(2)(b) ya KATIBA ya Tanzania, NAOMBA kesi hiyo ISAJILIWE kwa DHARURA.
  2. Kilichoiua Simba ni usajili wa kipa kwa billioni Tatu na kumwadhibu yeyote alijejaribu kupinga usajili huo

    Kila aliyepinga usajili wa Ayoub Linkel alishugulikiwa. Timu iliyoshindwa kulipa wachezaji bonasi za zaidi milion 500 msimu huu na uliopita. Iliumiza sana wachezaji kuona inapata billion 3 kusajili kipa garasha.. Waliifunga yanga 2-0 wakazulumiwa bonasi zao za m 300. Kabla ya gemu Mo kaja na...
  3. Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandamano? Watu wa Mbeya tuambieni kama hizi picha ni za kweli

    Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandaano? Watu wa Mbeya tuambieni kinachoendelea kama hizi picha ni za kweli =============== UPDATES... Hofu na wasiwasi vimetanda kwa wananchi jijini Mbeya kufuatia askari polisi kuzagaa kwa makundi maeneo mbalimbali tofauti na siku nyingine. Hata hivyo hakuna...
  4. Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

    Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani? Hata...
  5. KERO Waziri Mkenda umechemka, acha kutumia vibaya cheo chako kwa nidhamu ya woga

    Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. : 1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
  6. Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

    Wanaukumbi. Zionist forces brutally assault Orthodox Jews in the streets of Jerusalem for opposing genocide in Gaza. Haven’t seen this kind of state violence against Jews since Nazi Germany. Images like this destroy the myth that the State of Israel is Jewish.
  7. Rufaa ya DPP kupinga kuachiwa huru kwa Sabaya na wenzake kusikilizwa leo

    Rufaa ya DPP dhidi ya Ole Sabaya , ya kupinga kuachiwa huru inaanza kusikilizwa leo . Mitaani huwa tunasema hivi , " HAIJAISHA MPAKA IISHE " --- Mahakama ya Rufani leo Novemba mosi, 2023 imepanga kusikiliza rufaa ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini, (DPP) dhidi ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya...
  8. Tanzania yapiga kura za mkutano mkuu UN Kupinga vita ya Israel-Gaza

    Katika kura zilizopigwa, siku ya jana katika mkutano mkuu wa UN zilionesha Tanzania 🇹🇿 imepiga kura ya Kupinga Vita ya Israel na Gaza, na pia kura hiyo inataka Misaada iruhusiwe kuingia GAZA. Nchi 120 zilipiga kura kupinga Vita ya Israel na Gaza, kutaka yawepo mazungumzo na pia kusisitiza...
  9. Kulikuwa na haja gani TEC kupinga mkataba wa bandari?

    Serikali ilisema inasikiliza maoni ya watanzania wote kuhusu mkataba wa bandari na viongozi wa dini walikuwa na nafasi kubwa ya kusikilizwa maoni yao Ikumbukwe Kanisa katoliki walitoa waraka wa kupinga mkataba wa bandari wiki sita lakini leo hii tumewaona wakishiriki pamoja na serikali katika...
  10. Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

    Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
  11. K

    Maandamano kwenye bunge la Marekani kupinga mauaji Palestine

    Watu wameandamana ndani ya Majengo ya bunge la Marekani kupinga mauaji ya Israel dhidi ya wapalestina huko Gaza!
  12. Mwandishi aliyewahi kupinga vita vya Ukreini awekewa Sumu

    Mwandishi wa habari kutokea Urusi Bi.Marina Ovsyannikova (45) ambaye alipata umaarufu baada ya kupinga vita ya Ukraine akiwa studio ameugua ghafla na inasadikiwa amewekewa sumu. Marina alianza kufuatiliwa kimataifa mwezi Machi mwaka jana baada ya kuvamia studio ya televisheni ya taifa ya Urusi...
  13. Hamas kuitisha Maandamano Ijumaa katika nchi za kiarabu kulaani mashambulizi ya Israel

    Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili. Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya...
  14. Mjadala kupinga adhabu ya kifo nchini. TLS yajali utu, yaonesha njia. Adhabu hii ifutwe

    Wanabodi, https://www.youtube.com/live/clOESBBmMmI?si=WZKqn4KF5vTxrtGR Leo Tarehe 10 October ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo. Niko hapa jengo la Wakili House kuwaletea live mjadala kuipinga adhabu ya kifo nchini, ulioandaliwa na Chama cha Mawakili Tanganyika, TLS. Kiukweli TLS...
  15. Taasisi ya Moyo wa Mwanamke Shujaa Yafanya Kongamano na Kuiasa Jamii Kupinga Ukatili wa Kijinsia

    TAASISI YA "MOYO WA MWANAMKE SHUJAA" YAFANYA KONGAMANO NA KUIASA JAMII KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA TAASISI ya Moyo wa Mwanamke Shujaa yenye Makao yake Makuu Manispaa ya Morogoro chini ya Mkurugenzi wake, Dkt. Magreth Kongera, imefanya Kongamano la maombi na uzinduzi wa kampeni ya kupinga...
  16. M

    Serikali yatumia nguvu kubwa ya Polisi kutaka kuzuia kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari

    Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo. Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji...
  17. T

    Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

    Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi. Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6! Naomba watanzania...
  18. Hayati Magufuli aliwakomaza vyema CHADEMA sasa wametambua umuhimu wa kupinga ufisadi ili kulinda rasilimali za umma

    Hawa jamaa sasa wamekomaa kisiasa. Maana juu ya sakata la Bandari na mkataba tata wamekomaa. Huko nyuma walitaka kuleta siasa za kisanii wakadhani hayati Magufuli anapenda janjajanja. Alipowatosa wakaanza kuwa pingapinga. Wananchi wakadharau na kuwaona wapigaji tu. Ila sasa baada ya kubanwa na...
  19. Siku TEC ikitoa waraka kupinga uchaguzi uliochezewa matokeo CCM itaondoka madarakani

    Salam Wana JF, Nasema hivi siku ambayo Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki likitoa tamko au waraka kuhusu kuvurundwa kwa uchaguzi mkuu CCM itaondoka madarakani asubuhi mapemaa. Hii taasisi ina nguvu sana nchi nyingi duniani ambako ukristo wa dhehebu la ukatoliki upo. Hii taasisi imesababisha...
  20. Kamati za Kupinga Ukatili Zanzibar zashauri Elimu ya Ndoa Ianze kutolewa kwenye taasisi za Elimu kupunguza Talaka

    ZANZIBAR KAMATI za kupinga vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar zimeshauri kuundwa kwa mfumo utakaotoa fursa elimu ya ndoa kuanza kufundishwa katika ngazi mbalimbali kwenye taasisi za elimu ili kutoa nafasi kwa vijana kujifunza misingi ya ndoa na kuielewa kabla ya kuingia kwenye ndoa. Wameeleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…