Kwa hekima na busara akae tu kimya na kujifunza kufuatilia kwa umakini maoni na mitazamo ya wengine, huenda akajifunza na kuongeza ufahamu na uelewa wa masula hayo muhimu yanayoweza kumsaidia huko mbeleni?
Ama apumzike au kuendelea na shughuli zake nyingine, huenda akatumia muda wake vizuri kwa...