Katika Mahakama ya Mkoa wa Kagera mnamo Aprili 25, 2023 imetolewa hukumu katika Shauri la Rushwa Na.02/2023 mbele ya Mhe. Yona.
Shauri hili liliendeshwa na Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU Kelvin Murusuri
Shauri hilo lilikuwa dhidi ya Lilian Stanslaus Mwangwa - Afisa wa NIDA Kituo cha ILEMELA...