Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema kuwa malipo ya benki moja kwenda nyingine yanapaswa kukamilika ndani ya saa mbili, na ikiwa mteja hajapata fedha yake ana haki ya kuishtaki benki husika kwa kuwa analindwa na sheria.
Akiwasilisha mada ya mifumo ya fedha, Ofisa Mwandamizi Mkuu, Mifumo ya...