Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.
Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:
Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.
Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!"
Pia soma...
Baada ya Steven Byabato kuupata uwaziri, aliacha kabisa kupokea simu kutoka jimboni kwake. Akaanza kufurumusha maghorofa Mwanza na kwingine, akasahau palipompatia kura. Sasa uwaziri umekwenda, na uchaguzi umekaribia. Bila shaka wapiga kura watampokea na kauli ya UbayaUbwela. Huku kuna Chief...
True story......
Leo katika harakati zangu za kufuatilia cheti cha kuzaliwa cha dogo .Nilienda kibamba hospital nafika nakuta hospital imebomolewa pale na kujengwa nyingine nyumba kule ambapo kuenda ni boda boda ni buku jero.nikachukua boda chap hadi hospital nikaingia hadi reception kuulizia...
Inasikitisha sana sana, yaani unatuma email very important na haitakaa ijibiwe au unapiga simu mara namba hazipo, mara inaunganisha na hakuna anayepokea. Akipokea anajibu nyodo au haipokelewi....
Update.............
Tantrade nimejulishwa kuwa wao Wana mfumo, barua au email ikipokelewa inakua...
Ukiwa na mpenzi au mwenza wako kwenye marital bed, ni busara kuweka simu kwenye vibration. Mihangaiko ya mchana kutwa inachosha, na usingizi ni njia pekee Mwenyezi Mungu alituwekea kupunguza uchovu bure bila gharama.
Kuna wale wanaotegemea simu za biashara ya kazi na nyingine huingia hata saa...
Habari wakuu
Nahitaji secretary, jinsia yoyote ,umri wowote, mwenye uzoefu wa kupigia simu wateja, kupanga mikutano, kukumbusha madeni n.k. Anaweza fanyia kazi online, ila akiwa Dar au Kibaha ni bora zaidi.
Piga 0713-039 875
Habari zenu wakuu humu ndani natumai nyie ni wazima wa afya kabisa.
Leo nitashare nanyi hiki:
Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini ukiwa unaongea na simu iwe umepiga au kupigiwa, kabla ya maongezi Neno la kwanza kuongea ni Hellow?
Leo nakujuza sababu, wengine watasema Neno hilo humaanisha Habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.