Kwa miaka kadhaa sasa Uwekezaji umekuwa ukitumika kama njia ya uporaji ardhi kwa Wakazi wa Zanzibar, na hili linathibitika katika Kijiji cha Michamvi – Kae, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja kilichopo umbali wa Kilomita 41 kutoka Mjini, Unguja.
Kwa miaka 13 sasa katika Kijiji hiki ambacho...