Ina maaana Mrema na ushushu wake hakufanya due dilligence?
Sasa mbona anadaiwa kupora mke wa mtu?
👇
Ndoa ya Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema imeibua utata na kusemekana kuwa ni batili kufuatia uwepo wa madai kuwa mwanamke aliyefunga nae ndoa, Doreen Kimbi...