kuporomoka jengo kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Wamiliki wa Jengo lililopo mtaa wa Msimbazi na Agrey Kariakoo wameamua kuchukua hatua la kulibomoa

    Kiukweli nawapongeza wamiliki wa jengo hili kuona umuhimu wa kuliboboa jengo ambalo ni la muda mrefu tena limeshaanza kuonyesha ishara mbaya. Bila shaka wamejifunza pakubwa baada ya kuporomoka kwa jengo la kariakoo na kusababisha vifo kadhaa vya watanzania na hata biashara zao kuharibika...
  2. milele amina

    Mshangao na huzuni bila Rais Samia, maisha ya wanyonge, wa kariakoo Rais Samia, tunakusihi uje nyumbani, uso kwa uso na wananchi

    Mshangao na Huzuni kwa Rais Samia Habari za kusikitisha zimeikabili nchi yetu, Tanzania, ambapo watu 13 wamefariki kutokana na jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo. Hali hii si tu inasababisha huzuni ndani ya mioyo ya wananchi, bali pia inatoa maswali mengi kuhusu uongozi wa Rais Samia...
  3. Influenza

    Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

    Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
Back
Top Bottom