Kiukweli nawapongeza wamiliki wa jengo hili kuona umuhimu wa kuliboboa jengo ambalo ni la muda mrefu tena limeshaanza kuonyesha ishara mbaya.
Bila shaka wamejifunza pakubwa baada ya kuporomoka kwa jengo la kariakoo na kusababisha vifo kadhaa vya watanzania na hata biashara zao kuharibika...
Mshangao na Huzuni kwa Rais Samia
Habari za kusikitisha zimeikabili nchi yetu, Tanzania, ambapo watu 13 wamefariki kutokana na jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo. Hali hii si tu inasababisha huzuni ndani ya mioyo ya wananchi, bali pia inatoa maswali mengi kuhusu uongozi wa Rais Samia...
Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...