"Wananchi kuuawa na kuporwa mali zao katika siku za karibuni imekuwa ni jambo la kawaida, wananchi kuuawa na kuporwa mali zao kwa visingizio vya kusimamia sheria za uhifadhi, mfano katika maeneo irani na hifadhi kunaripotiwa taarifa za wafugaji kuuawa, wanawake kuuawa wakiwa wanakusanya kuni...