Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limeanza kufuatilia taarifa ya kupotea kwa Daisle Simon Ulomi, mfanyabiashara ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini kwake siku ya tarehe 11 Desemba, 2024 baada ya taarifa ya kutafutwa kupokelewa katika kituo cha Polisi Chang’ombe, Temeke...