kupotea

  1. R

    Kupotea Kwa mtandao wa fedha BOT,Je ni panyaroad wa IT kazini!!?

    Mambo vipi walipa kodi!!? Hivi majuzi nilikua na process kamkopo Fulani hivi kwenye Moja ya taasisi za kibenki hapa nchini,Hadi sasa hakuna nilichoambulia japo process zote zimekamilika! Nilipomuuliza mdau mmoja wa taasisi hiyo akaniambia hujui mtandao wa fedha haupo nchini!!?na wameagizwa...
  2. LHRC yatoa wito Tanzania kuridhia Mkataba wa Kimataifa wa Ulinzi kwa Watu Wote dhidi ya Kupotea na Kutekwa, 1994

    MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WAHANGA WA MATUKIO YA KUTOWEKA NA KUTEKWA (ENFORCED DISAPPEARANCES) Dar es Salaam, Agosti 30, 2024 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo Agosti 30, 2024 kinaungana na wadau wote wa Haki za Binadamu Duniani katika kuadhimisha siku ya Kimataifa ya...
  3. Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha hasa ya Vijana wenzetu. Yalianza mdogomdogo lakini kadiri siku zinavyozidi Kwenda mbele kumekuwa na taarifa za hapa na pale kuhusu fulani na fulani kupotea, binafsi nimeanza kupata hofu licha ya kuwa Jeshi...
  4. Kwa mujibu wa Rais Samia mnaopotea endeleeni kupotea kwa sababu ni drama

    Andamaneni, fanyeni mnavyoweza na ENDELEENI KUPOTEA SANA. Kwa mujibu wa Rais Samia HIZO ZOTE NI DRAMA TU.
  5. Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea

    Baadhi ya Wananchi wameandamana na kuvamia Kituo cha Polisi cha Lamadi wakidai askari Polisi wa eneo hilo wameshindwa kuwajibika wakidai kuna muendelezo wa matukio ya Watoto kupotea Mkoani hapo. Baadhi ya Wananchi wengine pia walifunga Barabara ya Kuu ya Mwanza-Simiyu-Mara, baada ya tukio hilo...
  6. Ni wakati muafaka Watanzania kuipongeza serikali na wananchi wazalendo wa Msomera Tanga kwa kuinusuru hifadhi ya Ngorongoro kupotea

    Wananchi wazalendo wa msomera mkoani Tanga, ambao hapo kabla walikua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ngorongoro, ambapo baadae kwa kushauriana na mamlaka za serikali, na kwa hiyari na utashi wao, Lakini pia kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa, na urithi wa vizazi vijavyo, wananchi wale...
  7. Wakili Msomi Mwabukusi anza na shambulio la Lissu na kupotea kwa Ben Saanane

    Ndugu Rais wa TLS sisi watanzania wapenda haki tunaomba uanze na haya: 1. Shambulio la Tundu Lissu 2. Kupotea kwa Ben Rabiu Saa nanena Azory Gwanda. Ishinikizeni serikali juu ya masaibu yaliyowakuta hawa watu wakumbushe serikali ina jukumu la kulinda raia wake na si vinginevyo. Haya mambo...
  8. Jeshi la Polisi lianze kupokea Taarifa za kupotea kwa watu ndani ya masaa 14 hasa watoto

    Niko mikononi mwa Polisi Maisha yangu bado ni mikosi wote itikieni Afandee…. Wanabodi nianze kusema binafsi sifutahishwi na huu utaratibu wa polisi kusema mtu akipotea hawapokei taarifa chini ya masaa 24 tangu mtu amepotea. Huenda ndani ya masaa hayo jitihada zikafanyika na mtu akaokolewa uhai...
  9. Dar: Anayedaiwa kutekwa naye asakwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za utekaji

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka zingine za kisheria tunaendelea kufuatilia kwa karibu matukio ya ubakaji na kulawiti kwa watoto wadogo ambapo tangu mwezi Machi mpaka Julai Jeshi la Polisi limepokea taarifa nne kutoka kwa wazazi wa Mbagala na Temeke...
  10. R

    Ushauri: Kodi ya VAT ikusanywe direct toka viwandani kupunguza upotevu wa mapato

    Salaam, Shalom, Wote tunafahamu kuwa uagizaji wa mafuta Kwa Mfano, Huwa mafuta yanapopakuliwa Kutoka kwenye meli, Huwa Lita zinafahamika na Kodi ya Serikali Huwa tayari inajulikana. Kiwanda Cha kuuza maji Cha Kilimanjaro Kwa Mfano, TRA wakiweka mfumo wa kujua Lita kiasi Gani zinazalishwa Kwa...
  11. Jinsi ya kuomba zuio la Mahakama (temporary injunction) kuzuia mali yenye mgogoro isiharibiwe, kuuzwa au kupotea

    Je unaweza kuomba temporary injunction/ stop order (zuio) wakati kesi iko kwenye hatua ya rufaa? Kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (Civil Procedure Code/ CPC) unaweza kuomba zuio la muda mfupi Mahakamani ikiwa utaona mali inayobishaniwa kwenye kesi iko hatarini kupotea au...
  12. S

    Mtoto wa miaka 8 aliepotea Kibaha na kukutwa ametupwa shimoni na amekufa: Ni sahihi Polisi kusema usubiri masaa 24 kabla ya kuripoti kupotea mtoto?

    Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
  13. Watanzania ubinadamu unazidi kupotea

    Hii video nimetumiwa, jamaa huko mwanza kajirusha alikuwa kwenye daraja la mabatini. Chanzo inasemekana mambo ya mapenzi. Tukirudi kwenye hiyo video ukiangalia, wakati yuko juu watu wanampita hawana hata habari naye hakuna hata mtu anafanya maamuzi ya kumzuia. Ukija huko chini napo mijitu...
  14. Mbona matangazo ya watu kupotea hasa vijana wa kiume yamekua mengi? Au ni mimi ndiyo naona

    Wakuu hii ikoje, Si WhatsApp si twitter kila siku lazima nione vijana timamu kabisa kupotea wengine wanafunzi wengine wafanyabiashara. Au mimi ndiyo naweweseka
  15. Mwanzo dunia na maisha ya viumbe vilivotangulia na kupotea

    Dunia iliundwa karibu miaka bilioni 4.5 iliyopita, lakini viumbe hai vya kwanza vilianza kuonekana miaka mingi baadaye. Mchakato wa kuibuka kwa uhai duniani unahusisha hatua kadhaa za mageuko na maendeleo ya viumbe hai. HISTORIA NA AINA YA VIUMBE VILIVYO KUWEPO DUNIANI Viumbehai...
  16. P

    Misemo iliyobamba na kuacha gumzo, tupia unaokumbuka

    Wakuu, Kuna vimesemo na vijimaneno huwa vinazuka na kubamba na kisha kupotea baada ya muda. Unakumbuka msemo gani uliobamba sana na kusepa na kijiji? Tupia hapa na watoto 2000 wapate vya kusimulia. Si mbaya ukaeelezea kwa kifupi msemo ambao unaona sio maarufu kwa wengi, utuambie ulitokea hapi...
  17. Kuyeyuka na kupotea kwa Mimba

    Kifuko cha ujauzito baada ya mimba kutunga (gestational sac) ni muundo uliojaa maji unaozunguka kiinitete (embryo) wakati wa wiki chache za ukuaji wa kiinitete. Tatizo la Kuyeyuka kwa mimba 'Blighted ovum' hutokea pale ambapo kifuko cha ujauzito (gestational sac) kinakua bila kiinitete...
  18. Naomba kujuzwa taratibu na gharama za kutangaza kwenye gazeti kwa kupotea hati za ardhi

    Habari. Naomba kujua garama na utaratibu wa kutangaza kwenye gazeti kupotea hati ya ardhi. 1. Muda inayotakiwa kutangaza. 2. Garama na gazeti gani kutangaza. 3. Mawasiliano yao
  19. Uchumi unakufa sababu ya kupotea kwa dola, wafanyabiashara wa nchi za kigeni/wawekezaji huenda ndio chanzo

    Sijui vizuri mambo yanayohusu uchumi ila utaalamu wangu upo kwenye kumanage rasilimali watu pekee na kusuluhisha mambo ila binafsi nimeona malalamiko mengi ya kupotea kwa dola, panda shuka ya bidhaa (inflation) ambapo kwa kiasi kikubwa machungu hubebeshwa mwananchi wa kawaida na kwa bahati mbaya...
  20. N

    Tukio la Stanslaus Ishengoma kutoa tangazo la kupotea na kumtafuta jirani yake Abdallah Juma limenigusa sana sana!

    Nimemuona ITV kwenye kipindi cha 'YUPO WAPI?' Anasema ni jirani yake huyo ametoweka tangu 28.2.24 bila kujulikana ameelekea wapi. Ameongeza pia kuwa mtafutwa ana tatizo la kifafa na kwamba ni majirani tu hapa mjini. Kwa uzoefu wetu tu tunajua hapo ni watu wa imani mbili tofauti lakini wameishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…