Ladies njooni tubadilishane uzoefu kidogo, wewe nini kimeshawahi kukukata au kukupunguzia msisimko? (kwenye mahusiano yako ya sasa au yaliyopita)
Baadhi ya mambo ambayo nimekua nayasikia mara kwa mara ni:-
Mwanaume kutokua mbunifu, kila siku style ile ile, kutojali kama umeridhika. Akifika...